About

Imagine production is a company which deals with printing, designing,secretarial services, internet&email and video productions.
Iringa Tanzania
0752846420

DESIGNNG AND PRINTING

⭕️IMAGINE PRODUCTION⭕️
Ni wataalamu wa kudesign na Kuprinti.... aina zozote za ubunifu wa kimaandishi Mfano?? Kutengezeza vifungashio (packaging) / MABOX YA Chaki ,Sabuni ya unga au KIPANDE au Lebo za sabuni za Maji ,kudesign labels aina zote ??mf labels za mafuta kama vile ??karanga,aloevera,nazi,alizeti,korosho,mzeituni,??parachichi,Shea Butter, Ant grey, nk, Kudesign Mabango/matangazo
Aina zote Mf matangazo ya Semina, Mikutano ya Injili,Hafla,makongamano nk... ??Kudesign Mabango Makubwa na Madogo ya Madukani/saloon/maofisini ...??Kudesign vipeperushi aina zote,Kuandaa Kadi za Kisasa za Harusi mchango au Mwaliko,Kudesign Bahasha za Makanisani na Maofisini....?Tu?Kutengeneza Makava ya Vitabu,??CD& DVD .
..??.Kutengeneza Kalenda za Maofisini na kalenda Binafsi za Kifamilia ..Kudesign na Kuprinti Vyeti, Vitambulisho vya Mashuleni na Maofisini.
Tunahuduma ya Kuchapa, kuprint na kupublish vitabu ( tumesajiliwa) .??.Kuedit Picha Ya Aina zozote(Photo Retouch) .....?? Tunapiga na Kusafisha Picha ndani ya Dk 3
??Kutengeneza Logo Binafsi au za Kampuni..
??Pia Tuna Design Na Kudevelop Blogs na Website Kwa Bei Nafuu sana ....
Tumefanya Kazi na Makampuni mengi Ndani na Nje ya Tz Karibu inbox kwa sample na maelezo zaidi...
TUPO IRINGA MJINI tutafute kwa simu no 📞 0752846420 / 0657410479 Email:📩 imagine1production@gmail.com,
??"QUALITY WORKS WITH FAIR PRICE"??
KARIBU IMAGINE PRODUCTION 2019 MIND.
Tunapatikana pia
Tembelea www.imagine1production.blogspot.com
Karibu Sana